Template:Appeal/default/sw: Difference between revisions
No edit summary |
m cleanup |
||
(7 intermediate revisions by 2 users not shown) | |||
Line 1: | Line 1: | ||
== Maombi kutoka kwa Jimmy Wales, mwanzilishi wa Wikipedia. == |
|||
⚫ | |||
Google ina mashine za seva milioni 1, Yahoo wana wafanyakazi 13,000. Sisi katika Wikipedia tuna seva 679 na wafanyakazi 95 pekee. |
|||
Wikipedia ni kitu maalumu. Ipo kama maktaba au mahali pa umma. Pako kama hekalu la maarifa. Ni mahali ambapo wote twaweza kwenda na kutafakari, kujifunza, na kuwagana maarifa yetu na wengine. |
|||
Wikipedia ni tovuti ya tano duniani kwa hesabu ya kutembelewa. Kila mwezi watu milioni 470 hutembelea tovuti yetu – wakiangalia mabilioni ya kurasa zetu. |
|||
⚫ | |||
Wikipedia ni mahali pa pekee kwenye intaneti. Ni mahali kama maktaba au bustani yaani mahali ambako roho ya mtu inaweza kutafakari, kujifunza na tunapoweza kushirikiana na watu wengine ujuzi na maarifa. |
|||
Nilipoanzisha Wikipedia ingekuwa rahisi kuijenga kama biashara na tovuti inayozalisha pesa nyingi kwa njia ya kuonyesha matangazo ya kibiashara. Lakini sikutaka. Kwa hiyo tumejenga Wikipedia kwa pesa kidogo hasa kwa kujitolea na zawadi za wachangiaji. Usimamizi wa mitambo unaendeshwa na watu wachache sana. Ofisi ya Wikipedia haikuweza kunenepa – wanenepe wengine! |
Nilipoanzisha Wikipedia ingekuwa rahisi kuijenga kama biashara na tovuti inayozalisha pesa nyingi kwa njia ya kuonyesha matangazo ya kibiashara. Lakini sikutaka. Kwa hiyo tumejenga Wikipedia kwa pesa kidogo hasa kwa kujitolea na zawadi za wachangiaji. Usimamizi wa mitambo unaendeshwa na watu wachache sana. Ofisi ya Wikipedia haikuweza kunenepa – wanenepe wengine! |
||
Kama kila msomaji angetoa |
Kama kila msomaji angetoa {{AppealAmountSwitch|language=sw|country={{{country}}}|amount=$5|$5}} kila mwaka kwa matumzi yake ya Wikipedia tusingehitaji kuomba kitu. Lakini si wote wanaoweza au wanaotaka kujitolea kwa njia hii. Hata hivyo tumepata wasaidizi wa kutosha hadi sasa. |
||
Kwa sababu hii ninakuomba: usaidie na wewe mwaka huu. Ujitolee kwa dola |
Kwa sababu hii ninakuomba: usaidie na wewe mwaka huu. Ujitolee kwa {{AppealAmountSwitch|language=sw|country={{{country}}}|amount=all|dola 5, 10, 100}} au jinsi unavyoweza. Tuendelee kujenga Wikipedia. |
||
Tuendelee kujenga Wikipedia. |
|||
Ahsante sana |
Ahsante sana, |
||
'''Jimmy Wales''' <br |
'''Jimmy Wales''' <br> |
||
Mwanzilishi wa Wikipedia |
Latest revision as of 21:40, 4 March 2019
Maombi kutoka kwa Jimmy Wales, mwanzilishi wa Wikipedia.
Si vibaya kufanya biashara au kuonyesha matangazo ya kibiashara – lakini hapa si mahala pake. Siyo katika Wikipedia.
Wikipedia ni kitu maalumu. Ipo kama maktaba au mahali pa umma. Pako kama hekalu la maarifa. Ni mahali ambapo wote twaweza kwenda na kutafakari, kujifunza, na kuwagana maarifa yetu na wengine.
Nilipoanzisha Wikipedia ingekuwa rahisi kuijenga kama biashara na tovuti inayozalisha pesa nyingi kwa njia ya kuonyesha matangazo ya kibiashara. Lakini sikutaka. Kwa hiyo tumejenga Wikipedia kwa pesa kidogo hasa kwa kujitolea na zawadi za wachangiaji. Usimamizi wa mitambo unaendeshwa na watu wachache sana. Ofisi ya Wikipedia haikuweza kunenepa – wanenepe wengine!
Kama kila msomaji angetoa $5 kila mwaka kwa matumzi yake ya Wikipedia tusingehitaji kuomba kitu. Lakini si wote wanaoweza au wanaotaka kujitolea kwa njia hii. Hata hivyo tumepata wasaidizi wa kutosha hadi sasa.
Kwa sababu hii ninakuomba: usaidie na wewe mwaka huu. Ujitolee kwa dola 5, 10, 100 au jinsi unavyoweza. Tuendelee kujenga Wikipedia.
Ahsante sana,
Jimmy Wales
Mwanzilishi wa Wikipedia