Template:Infobox/Default/sw

From Donate
Revision as of 17:57, 27 January 2012 by Cbarr (talk | contribs) (Created page with "'''Teknolojia:''' Seva, upana-bendi, matengenezo, maendeleo. Wikipedia ni tovuti ya 5 katika matumizi ya tovuti zote za dunia, na gharama ya kuiendesha ni ndogo sana kwa kulin...")
(diff) ← Older revision | Latest revision (diff) | Newer revision → (diff)
Jump to navigation Jump to search

Teknolojia: Seva, upana-bendi, matengenezo, maendeleo. Wikipedia ni tovuti ya 5 katika matumizi ya tovuti zote za dunia, na gharama ya kuiendesha ni ndogo sana kwa kulinganisha na gharama za kuendesha tovuti zingine kubwa

Watu: Tovuti zingine kati ya 10 kubwa zina maelfu ya wafanyakazi. Sisi hatuna hata 100, kwa hiyo mchango wako unafanyiwa kazi sana katika shirika fanisi lisiloendeshwa ili kuchuma faida.