Template:Appeal/Isaac/sw: Difference between revisions
import from Meta |
m Pcoombe moved page Template:2011FR/Appeal-Isaac/text/sw to Template:Appeal/Isaac/sw |
||
(One intermediate revision by the same user not shown) | |||
Line 1: | Line 1: | ||
== Kutoka kwa mhariri wa Wikipedia Isaac Kosgei == |
|||
Maarifa ni ya kila mtu, hata wale bila mtandao wa intaneti. |
Maarifa ni ya kila mtu, hata wale bila mtandao wa intaneti. |
||
Siku hizi, mashule mengi Kenya yana tarakilishi. Lakini mengi bado hayana intaneti, sana sana mle vijijini katika nchi langu. |
Siku hizi, mashule mengi Kenya yana tarakilishi. Lakini mengi bado hayana intaneti, sana sana mle vijijini katika nchi langu. |
Latest revision as of 19:39, 28 February 2019
Kutoka kwa mhariri wa Wikipedia Isaac Kosgei
Maarifa ni ya kila mtu, hata wale bila mtandao wa intaneti. Siku hizi, mashule mengi Kenya yana tarakilishi. Lakini mengi bado hayana intaneti, sana sana mle vijijini katika nchi langu.
Kama mhanag wa Wikipedia, mchango wangu kuu ni usamabzaji wa toleo ya Wikipedia isiyohitaji intaneti. Toleo hili ni la maandishi pekee.
Kusafiri kwa basi na teksi, huku tukiwa tumejiami kwa diski-ROM, diski-USB, kompyuta ya mkononi na projector, mie na rafiki zangu hutembele mashule Kenya kote.
Sisi husakinisha Wikipedia katika makompyuta ya shule na kuwaelimishawalimu ambavyo mradi unavyoendeshwa. Kisha tunaipa shule mzima mifano tukitumia projector na kupeana hotuba wa umuhimu wa wikipedia
Walimu wanasema ya kwamab mradi huu umebadili maisha ya maelfu ya wanafunzi na unaleta mapinduzi katika elimu nchini kenya. Wanafunzi huwa wenye furaha na hutushukuru kwa vitendo hivi.
Kutokana na wikipedia - na safari kadha refu katika mabasi yaliyojawa na vumbi - kizazi kizima cha wanafunzi sasa kina kamusi elezo kubwa zaidi duniani. Ninavyoona, hichi ndicho jambo bora zaidi kutendeka.
Unapochangia kwa Wikipedia, wabadilisha dunia. Kutoka kwa mvunguni mwa moyo wangu, asante.
Isaac Kosgei
Mwanafunzi wa Biashara na muhanga wa Wikipedia