Template:2011FR/core-appeal-whitebox/sw

From Donate
Jump to navigation Jump to search
Mambo yanayogharimiwa na mchango wako

Teknolojia: Seva, upana-bendi, matengenezo, maendeleo. Wikipedia ni tovuti ya 5 katika matumizi ya tovuti zote za dunia, na gharama ya kuiendesha ni ndogo sana kwa kulinganisha na gharama za kuendesha tovuti zingine kubwa

Watu: Tovuti zingine kati ya 10 kubwa zina maelfu ya wafanyakazi. Sisi hatuna hata 100, kwa hiyo mchango wako unafanyiwa kazi sana katika shirika fanisi lisiloendeshwa ili kuchuma faida.